Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tabora ambapo atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Hassan Wakasuvi.