Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA MABUNGE...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA MABUNGE YA CANADA -AFRIKA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada-Afrika, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-2-2024.(Picha na Ikulu)R

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.na (kulia kwa Rais) Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe.Kyle Nunas na Kiongozi wa Ujumbe huo Seneta Amina Gerba.(Picha na Ikulu)

UJUMBE wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada – Afrika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024, ujumbe huo ukiongozwa na Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas na (kulia kwake) Kiongozi wa Ujumbe huo Seneta Mhe. Amina Gerba.(Picha na Ikulu)

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada – Afrika, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024, na (kulia kwa Rais) Balozi wa Canada Nchini Tanzania Mhe. Kyle Nunas,Kiongozi wa Ujumbe huo Seneta Amina Gerba na Mhe. Brenda Shanahan.(Picha na Ikulu)  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Kiongozi wa Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada-Afrika Seneta Amina Gerba na (kulia kwake) Mhe. Brenda Shanahan, baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Ujumbe wa Jumuiya ya Mabunge ya Canada –Afrika, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2024.(Picha na Ikulu) 

Previous articleMKURUGENZI WA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU AZUNGUMZA NA WAHARIRI
Next articleMAJALIWA ATEMBELEA MAABARA YA KOMPYUTA SHULE YA WASICHANA RUANGWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here