Home LOCAL MAJALIWA ATEMBELEA MAABARA YA KOMPYUTA SHULE YA WASICHANA RUANGWA

MAJALIWA ATEMBELEA MAABARA YA KOMPYUTA SHULE YA WASICHANA RUANGWA

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akikagua maabara ya kompyuta alipotembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia iliyopo Ruangwa mkoani Lindi, leo Februari 22, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akimuangalia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Lucas Malia Greater david akifanya majaribio ya kuwasha umeme kwa kutumia Sakiti kupitia Kompyuta, wakati alipotembelea shule hiyo leo Februari 22, 2024 Ruangwa, mkoani Lindi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akiwasalimia wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia alipotembelea Shule hiyo iliyopo Ruangwa mkoani Lindi, leo Februari 22, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa akizungumza na wazazi na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia alipotembelea Shule hiyo iliyopo Ruangwa mkoani Lindi, leo Februari 22, 2024 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleRAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA MABUNGE YA CANADA -AFRIKA IKULU ZANZIBAR
Next articleUHUSIANO WA TANZANIA NA URUSI KUBORESHWA KUNUFAISHA PANDE ZOTE – NCHIMBI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here