Home LOCAL MKURUGENZI WA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU AZUNGUMZA NA WAHARIRI

MKURUGENZI WA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU AZUNGUMZA NA WAHARIRI

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari 2024.

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Mohamed Bashe akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

 Baadhi ya Wahariri na Waandishi kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari wakiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi Ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba Katibu Mkuu akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

 Balozi Shaibu Said Musa – Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Mohamed Bashe, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo (katikati) pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba (kushoto) wakizungumza wakati wa mkutano wa Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

Balozi Shaibu Said Musa – Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bw. Gilead Teri wakati mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

Prof. Kenneth Besegi Mkurugenzi Bodi ya Sukari akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria mkutano ulioandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 22 Februari, 2024.

Previous articleBBT YAZIDI KUKONGA MIOYO YA WATANZANIA
Next articleRAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN MWINYI AMEKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA MABUNGE YA CANADA -AFRIKA IKULU ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here