Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA JUKWAA LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA NORWAY...

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA JUKWAA LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA NORWAY JIJINI OSLO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Viongozi, Wawekezaji na Wafanyabiashara mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Previous articleRAIS SAMIA: TANZANIA KUWA MIONGONI YA NCHI 20 ZINAZOKUA KIUCHUMI
Next articleRAIS SAMIA AANDALIWA DHIFA YA KITAIFA JIJINI OSLO NORWAY
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here