Home LOCAL RAIS SAMIA ATANGAZA KIFO CHA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI IKULU...

RAIS SAMIA ATANGAZA KIFO CHA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI IKULU DAR ES SALAAM 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya Saratani ya Mapafu tarehe 29 Februari 2024.