Home LOCAL RAIS SAMIA ATANGAZA KIFO CHA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI IKULU...

RAIS SAMIA ATANGAZA KIFO CHA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI IKULU DAR ES SALAAM 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kupitia Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya Saratani ya Mapafu tarehe 29 Februari 2024.

Previous articleMIZIMU YA KATABI HIFADHI YA TAIFA KATAVI YAWAKIVUTIO KIKUBWA CHA UTALII.
Next articleMKATABA BAINA YA NHIF NA APHFAT HAUJAVUNJWA – Dkt. SAGWARE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here