Home LOCAL MTAMBO MMOJA JNHPP WA MEGAWATI 235 KUWASHWA LEO

MTAMBO MMOJA JNHPP WA MEGAWATI 235 KUWASHWA LEO

 

Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko mapema leo anatarajia kushuhudia uwashaji wa mtambo mmoja kati ya mitambo 9 ya kuzalisha umeme katika mradi wa bwana la uzalishaji wa umeme Julius Nyerere Rufiji.

Mtambo huo una uwezo wa Kuzalisha Megawat 235 za umeme.

Megawati hizo 235 zinatarajia kuingizwa katika grid ya Taifa na kuongeza uimarishaji wa upatikanaji wa umeme nchini

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here