Home LOCAL RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA MWENEZI MAKONDA IKULU ZANZIBAR

RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA MWENEZI MAKONDA IKULU ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Paul Christian Makonda, Ikulu Zanzibar tarehe: 11 Januari 2024.

Aidha Katibu Mwenezi Makonda amempongeza Rais Dkt.Mwinyi kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kipindi cha Miaka 3 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo Zanzibar.

Kwa upande mwingine Rais Dkt.Mwinyi ampongeza Katibu Mwenezi Makonda kwa kuteuliwa kwake na kuanza kazi vizuri ya ujenzi wa Chama cha Mapinduzi kwa umma.

Previous articleWAZIRI MKUU AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA YA KASKAZINI “B”-PANGATUPU
Next articleKINGAZI HOTEL INAWATAKIA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA HERI YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here