Home LOCAL WAZIRI MKUU AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA YA KASKAZINI “B”-PANGATUPU

WAZIRI MKUU AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA YA KASKAZINI “B”-PANGATUPU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”-Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar, Januari 11, 2024. Kushoto ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Nasser Ahmed Mazrui. Uzinduzi wa Hospital hiyo ni sememu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”-Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar, Januari 11, 2024. Kushoto ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Nasser Ahmed Mazrui. Uzinduzi wa Hospital hiyo ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Zuhura Juma Makame ambaye ni Mhudumu kwenye Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”-Pangatupu kuhusu mashine ya kusaidia watu wenye matatizo ya moyo. Wakati wa ufunguzi wa hospital hiyo ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”-Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar, ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameifungua leo Januari 11, 2024

Previous articleZIARA YA DKT. BITEKO MKOANI MTWARA YAPELEKEA MITAMBO ILIYOSIMAMA KUANZA KUZALISHA UMEME
Next articleRAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA MWENEZI MAKONDA IKULU ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here