Home LOCAL WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAFURIKO MANYARA

WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAFURIKO MANYARA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Majeruhi hao wanapatiwa matibabu bure na Serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa manyara.