Home LOCAL WAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KAMBI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda walipo waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuharibika kwa nyumba na miundombinu mingine kutokana kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.

Waathirika hao walio katika kambi hiyo ya muda wanahudumiwa na Serikali na wameishukuru Serikali kwa jitihada zilizofanyika za kuhakikisha wanapata huduma hizo muda wote.

Previous articleWAZIRI MKUU AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAFURIKO MANYARA
Next articleMITAMBO ILIYOZINDULIWA NA RAIS DKT. SAMIA YAANZA UCHOROGAJI NYAMONGO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here