Home LOCAL WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi zawadi ya picha Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023.