Home LOCAL WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi zawadi ya picha Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish baada ya mazungumzo yao,  ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Disemba 13, 2023. 
Previous articleNAIBU WAZIRI KHAMIS AWAFARIJI WAATHIRIKA KATESH
Next articleWANANCHI JORODOM HANANG  WAVUTIWA NA MABANGO YA UELIMISHAJI  NA DAWA ZA KUTIBU MAJI WAOMBA DAWA ZIONGEZWE  

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here