Home LOCAL WAZIRI MKUU AKABIDHIWA TUZO YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

WAZIRI MKUU AKABIDHIWA TUZO YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha Tuzo ya kutambua mchango wa Rais Dkt.. Samia Suluhu Hassan    katika ujenzi wa shukle maalum za wasichana nchini iliyotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Tuzo hiyo ilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi, TAMISEMI ambaye pia ni Mbunge wa Rufiji, Mohammed Mchengerwa katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed lililofanyika kwenye uwanja wa Umoja uliopo Ikwiriri mkoani Pwani, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa Tuzo ya kutambua mchango wa Rais Dkt.. Samia Suluhu Hassan    katika ujenzi wa shukle maalum za wasichana nchini, iliyotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Tukio hilo lilifanyika katika Tamasha la Bibi Titi Mohammed  kwenye Uwanja wa Umoja, Ikwiriri  mkoa wa Pwani, Disemba 3, 2023. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika  Tamasha la Bibi Titi Mohammed kwenye uwanja wa umoja uliopo Ikwiriri mkoani Pwani.

Previous articleSHILINGI BILIONI 1.4 ZITATUMIKA KUMALIZA KERO YA MAJI KATA YA LIKOKONA NA KAMUNDI WILAYANI NANYUMBU MKOANI MTWARA
Next articleRAIS SAMIA: SERIKALI KUGHARAMIA MAZISHI YA WALIOKUFA NA MAFURIKO HANANG

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here