Home LOCAL MAJALIWA ASALIMIANA NA SUMAYE KATESH

MAJALIWA ASALIMIANA NA SUMAYE KATESH

Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Katesh wilayani Hanang Disemba 7, 2023. Mheshimiwa Rais alikwenda Katesh kuwapa pole wananchi kufuatia mafuriko  yliyoukumba mji mdogo wa Katesh na kijiji cha Gendabi, pia  kujionea athali zilizosababishwa na mafuriko hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri MKkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here