Home LOCAL MAJALIWA ASALIMIANA NA SUMAYE KATESH

MAJALIWA ASALIMIANA NA SUMAYE KATESH

Waziri Mkuu, KASSIM MAJALIWA akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na wananchi kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Katesh wilayani Hanang Disemba 7, 2023. Mheshimiwa Rais alikwenda Katesh kuwapa pole wananchi kufuatia mafuriko  yliyoukumba mji mdogo wa Katesh na kijiji cha Gendabi, pia  kujionea athali zilizosababishwa na mafuriko hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri MKkuu)
Previous articleCHUO CHA TAIFA CHA ULINZI CHATEMBELEA BENKI KUU DAR ES SALAAM
Next articleMSHINDI SHINDANO LA BINGWA KUONDOKA NA ZAWADI YA CRAWN
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here