Home LOCAL KINANA KERO ZA UMEME NA MAFUTA ZAJADILIWA KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU...

KINANA KERO ZA UMEME NA MAFUTA ZAJADILIWA KATIKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Rufiji Wakati wa Uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kipindi cha miaka miwili na nusu Iliyowasilishwa na Mhe. Mohamed Mchengerwa Mbunge wa Jimbo la Rufiji  ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Wakati wa Uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kipindi cha miaka miwili na nusu. 
Wananchi waliohudhuria Mkutano wa hadhara wa Uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika kipindi cha miaka miwili na nusu iliyowasilishwa na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, Akikabidhi Pikipiki kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) ili kuchochea kasi ya Utendaji wa Chama Katika Jimbo hilo
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, Akikabidhi Baiskel kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) ili kuchochea kasi ya Utendaji wa Chama Katika Jimbo hilo

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here