Home LOCAL WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MAHAFALI CHUO KIKUU...

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MAHAFALI CHUO KIKUU CHA IRINGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu cha Iringa kwenye viwanja vya Chuo hicho mjini Iringa, Novemba 30, 2023. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho na  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo.

Baadhi ya wahitimu wa Mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu cha Iringa wakimsiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika Mahafali hayo kwenye viwanja vya Chuo hicho mjini Iringa, Novemba 30, 2023. 

 

Previous articleWANANCHI WENGI WAJITOKEZA VITUONI SIKU YA MWISHO UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA TABORA
Next articleMAANDALIZI KUELEKEA SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAKAMILIKA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here