Home LOCAL WANANCHI WENGI WAJITOKEZA VITUONI SIKU YA MWISHO UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA...

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA VITUONI SIKU YA MWISHO UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA TABORA

 

Gasper Kiswaga BVR Kit  Operator Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC akimchukua alama za vidole Bi. Selina George mkazi wa Kizigo Kata ya Ng’ambo Halmashauri ya Tabora wakati mkazi huyo alipofika kituoni hapo kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari  la Kudumu la Wapiga Kura ambapo Leo Novemba 30, 2023 ndiyo siku ya mwisho ya zaoezi hilo  litakalofingwa saa saa 12: jioni.

 

 

Previous articleMKEMIA MKUU WA SERIKALI: HUDUMA ZA VINASABA HULETA SULUHU KWENYE JAMII
Next articleWAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MAHAFALI CHUO KIKUU CHA IRINGA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here