Home LOCAL WANANCHI WENGI WAJITOKEZA VITUONI SIKU YA MWISHO UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA...

WANANCHI WENGI WAJITOKEZA VITUONI SIKU YA MWISHO UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA TABORA

 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Gasper Kiswaga BVR Kit  Operator Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC akimchukua alama za vidole Bi. Selina George mkazi wa Kizigo Kata ya Ng’ambo Halmashauri ya Tabora wakati mkazi huyo alipofika kituoni hapo kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari  la Kudumu la Wapiga Kura ambapo Leo Novemba 30, 2023 ndiyo siku ya mwisho ya zaoezi hilo  litakalofingwa saa saa 12: jioni.