Home LOCAL SPIKA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA MAKONDA 

SPIKA WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA MAKONDA 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Paul Makonda Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 2 Novemba, 2023.

Previous articleTADB YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO
Next articleWAZIRI MALAWI, WASHIRIKI KONGAMANO LA MADINI, WASHUHUDIA ‘LIVE’ UCHIMBAJI GGML GEITA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here