Home LOCAL PICHA: SPIKA DKT. TULIA ALIVYOPOKELEWA JIJINI MBEYA

PICHA: SPIKA DKT. TULIA ALIVYOPOKELEWA JIJINI MBEYA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimia na Wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya kwa ajili ya kumpongeza baada ya kushinda Urais wa IPU leo tarehe 11 Novemba, 2023.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya kwa ajili ya kumpongeza baada ya kushinda Urais wa IPU leo tarehe 11 Novemba, 2023.

Previous articleDKT. BITEKO AZINDUA KITUO CHA KISASA CHA KUJAZIA GESI ASILIA KWENYE MAGARI (CNG)
Next articleWAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MKUU WA WILAYA NA MBUNGE MSTAAFU RWANGWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here