Home LOCAL WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MKUU WA WILAYA NA MBUNGE MSTAAFU RWANGWA

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MKUU WA WILAYA NA MBUNGE MSTAAFU RWANGWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 12, 2023, Amewasili Mkoani Lindi ambapo ameshiriki msiba na maziko ya Bi. Fatma Mikidadi aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa na Mbunge wa Viti Maalum kwa nyakati tofauti.

Mheshimiwa Majaliwa amesema Bi. Fatma ni miongoni mwa viongozi wa awali wa Wilaya ya Ruangwa ambao wameacha alama kubwa kwa wananchi wa wilaya hiyo.

Amesema enzi za uhai wake alikuwa miongoni mwa watu waliofanya jitihada kubwa ya kuhakikisha Mkoa wa Lindi unapata maendeleo kwa kushiriki katika miradi ya kuwainua wananchi.

Previous articlePICHA: SPIKA DKT. TULIA ALIVYOPOKELEWA JIJINI MBEYA
Next articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 13,2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here