Home LOCAL PICHA: SPIKA DKT. TULIA ALIVYOPOKELEWA JIJINI MBEYA

PICHA: SPIKA DKT. TULIA ALIVYOPOKELEWA JIJINI MBEYA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimia na Wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya kwa ajili ya kumpongeza baada ya kushinda Urais wa IPU leo tarehe 11 Novemba, 2023.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe Jijini Mbeya kwa ajili ya kumpongeza baada ya kushinda Urais wa IPU leo tarehe 11 Novemba, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here