Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AMUAGA RAIS WA ROMANIA MHE.  KLAUS IOHANNIS BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA...

MHE. RAIS SAMIA AMUAGA RAIS WA ROMANIA MHE.  KLAUS IOHANNIS BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye hafla ya kumuaga baada ya kukamilisha ziara yake nchini Tanzania, katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Novemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kumuaga baada ya kukamilisha ziara yake nchini Tanzania tarehe 19 Novemba 2023 .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, Ikulu Jijini Dar es Salaam baada ya kukamilisha ziara yake nchini Tanzania tarehe 19 Novemba 2023.

 

Previous articlePROGRAMU YA MAZOEZI KWA WATUMISHI WA WIZARA YAANZA KWA KISHINDO
Next articleASA YAPONGEZWA UPATIKANAJI WA MBEGU BORA ZA KILIMO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here