Home ENTERTAINMENTS DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO ZA MTV EMA

DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO ZA MTV EMA

 

Msanii wa muziki Bongo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa kuamkia leo ameshinda Tuzo za MTV EMA katika kipengele cha Best African Act.

Kwenye  kipengele hicho, Diamond alishindanishwa na wasanii wakubwa wakiwemo Burna Boy na Asake wa Nigeria, Libianca kutoka Cameroon na Tyler ICU kutoka nchini Afrika Kusini.

Katika mitandao ya kijamii mashabiki wamefurahishwa na ushindi huo kwa kuwashinda wasanii nguli kwa Nigeria Asake na Burna Boy na kuwataka wasanii wengine kufuata nyayo zake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here