Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)