Home LOCAL WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA BAADHI YA MAWAZIRI , MAKATIBU WAKUU NA WAKUU...

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA BAADHI YA MAWAZIRI , MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA MIKOA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023.  Kulia ni  Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonaz. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya washiriki wa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika Kikao na baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Majiji wa Mikoa ya Mwanza, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tanga na Dar es salaam, Mstahiki Meya Nyamagana, Kamishina wa Ardhi, Afisa Ardhi na Msaji wa Hati Mkoa wa Mwanza na Dodoma kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleDODOMA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI DAMU
Next articleMAGAZETI YA LEO OKTOBA 4 -2023
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here