Home INTERNATIONAL RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA INDIA

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA INDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya India Mhe. Dkt. Subrahmanyam Jaishankar aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya kuwasili New Delhi kwa ajili ya ziara ya Kitaifa tarehe 08 Oktoba, 2023.
 

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje ya India Mhe. Dkt. Subrahmanyam Jaishankar mara baada ya mazungumzo New Delhi nchini humo tarehe 08 Oktoba, 2023. Wengine pichani ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. Anisa Mbega wa kwanza kulia.

Previous articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OCTOBA 8-2023
Next articleDKT. BITEKO APONGEZA CHUO CHA UTALII
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here