Home BUSINESS WAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA TANTRADE KURATIBU NA KUSIMAMIA KLINIKI YA BIASHARA GEITA

WAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA TANTRADE KURATIBU NA KUSIMAMIA KLINIKI YA BIASHARA GEITA

Waziri wa Madini Anthony Mavunde (Kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Biashara wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), na Msimamizi Mkuu wa Kliniki ya Biashara katika Maonesho ya sita ya Teknolojia ya Madini, Bi. Samirah Mohamed (kulia), kuhusu Kliniki ya Biashara inayoratibiwa na Taasisi hiyo, kwenye Maonesho ya sita ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili Mkoani Geita, leo Septemba 29,2023.

TANTRADE imeshiriki Maonesho hayo ikisimamia Kliniki ya Biashara yenye jukumu la kutoa huduma kwa pamoja kusikiliza na kutatua changamoto za wadau na wananchi mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara.

(PICHA NA: HUGHES DUGILO)

Afisa Biashara wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), na Msimamizi Mkuu wa Kliniki ya Biashara katika Maonesho ya sita ya Teknolojia ya Madini, Bi. Samirah Mohamed (kulia), na Bi. Clara Mwamba (Kushoto), Afisa Biashara kutoka katika Taasisi hiyo, , wakiwa katika picha ya pamoja kwenye Banda lao inapofanyika Kliniki ya Biashara kwenye Maonesho ya sita ya Teknolojia ya Madini Mkoani Geita.

Afisa Biashara wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), na Msimamizi Mkuu wa Kliniki ya Biashara katika Maonesho ya sita ya Teknolojia Katika Dekta ya Madini Bi. Samirah Mohamed (wa kwanza kulia), akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Taasisi wezeshi za Serikali zilizoshiriki kwenye Kliniki hiyo katika Maonesho hayo, Geita.

Muonekano wa Banda ya Kliniki ya Biashara katika Maonesho ya Madini Geita.

Previous articleKATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA JIJINI DAR
Next articleWAVAMIZI HARAMU WAVAMIA MGODI WA NORTH MARA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here