Home LOCAL KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA...

KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA JIJINI DAR

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, leo Ijumaa, Septemba 29, 2023, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Bi Chen Mingjian, aliyeambatana na ujumbe wake, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, yaliyolenga kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji kati ya pande hizo mbili, pamoja na kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidugu baina ya nchi za Tanzania na China chini ya uongozi wa Vyama vya CCM na CPC, mtawalia.

Previous articleTASAC YAWAHAKIKISHIA USALAMA WANANCHI VYOMBO VYA MAJI
Next articleWAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA TANTRADE KURATIBU NA KUSIMAMIA KLINIKI YA BIASHARA GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here