Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI NEWALA MKOANI MTWARA

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI NEWALA MKOANI MTWARA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Newala katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwapungia mkono wananchi wa Newala mara baada ya kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

  

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye uwanja wa Sabasaba, Newala Mkoani Mtwara wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba mkoani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here