Home LOCAL RAIS. DKT. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MSHAURI WA MWANAMFALME WA...

RAIS. DKT. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MSHAURI WA MWANAMFALME WA SAUDI ARABIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Previous articleNAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI APOKELEWA RASMI WIZARA YA NISHATI
Next articleTANTRADE YAJIPANGA KUSAKA MASOKO YA BIDHAA ZA TANZANIA KIMATAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here