Home BUSINESS RC MTAKA ATEMBELEA BANDA LA TCAA, ASIFU UFANISI WA TAASISI HIYO MAONESHO...

RC MTAKA ATEMBELEA BANDA LA TCAA, ASIFU UFANISI WA TAASISI HIYO MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka (wa pili kushoto)), akizungumza na Meneja Masoko na Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA Bw. Yesaya Mwakifulefule(wa kwanza kushoto), wakati alipotembelea Katika banda la Mamlaka hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya, Katika picha (Kutoka kulia), ni Maureen Swai Afisa Uhusiano na Mawasiliano TCAA, Kassim Ally (Dereva)m na Ally Changwila Afisa Uhusiano Mwandamizi TCAA.

Meneja Masokona Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA Bw. Yesaya Mwakifulefule (kushoto), akimpa maelezo Mwanahabari na Mwana mitindo Mboni Masimba (katikati), wakati alipotembelea Katika banda la Mamlaka hiyo, kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.

Mwanahabari na Mwana mitindoMasimba akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Katika banda la Mamlaka hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mneya kulia ni Maureen Swai Afisa Uhusiano na Mawasiliano TCAA. 

Previous articleVIONGOZI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA CHUO KIKUU MZUMBE
Next articleTASAC YAZIDI KUJIIMARISHA KUWAPA ELIMU WANANCHI MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here