Home BUSINESS RC MTAKA ATEMBELEA BANDA LA MKEMIA MKUU WA SERIKALI MAONESHO YA NANENANE...

RC MTAKA ATEMBELEA BANDA LA MKEMIA MKUU WA SERIKALI MAONESHO YA NANENANE JIJINI MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Athony Mtaka (kushoto), akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali alipotembelea Banda la Taasisi hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale  Jijini Mbeya.

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inashiriki Maonesho hayo kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea kwenye Banda lao kufahamu jinsi Mamlaka hiyo, inanvyotekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Athony Mtaka (kulia), akisisitiza jambo akipokuwa akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kwenye Maonesho ya Nanenane Jijini Mbeya. (kushoto), ni Mkemia Daraja la 1, katika Ofisi ya Mkemia Mkuu, Jensen Bilaro.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Athony Mtaka akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka ya Mkemia Mkuu wa Serikali, mara baada ya kumalizika kwa ziara ya kutembelea Banda la Taasisi hiyo katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya.

(PICHA NA: HUGHES DUGILO)

Previous articleBoT YATOA RAI KWA WANANCHI KUTUNZA FEDHA KUEPUKA UCHAKAVU
Next articleRC MTAKA ATEMBELEA BANDA LA BRELA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here