Home ENTERTAINMENTS RAIS SAMIA AMKABIDHI CHETI MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU NCHINI CHINA JIN DONG...

RAIS SAMIA AMKABIDHI CHETI MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU NCHINI CHINA JIN DONG KUWA BALOZI WA UTALII NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Muigizaji maarufu wa Filamu nchini China, Jin Dong cheti cha Ubalozi wa Heshima wa Kutangaza Utalii wa Tanzania nchini China wakati alipotembelea Jiji la Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here