Home LOCAL HABARI PICHA: SEKRETARIETI YA TNCM YAKUTANA NA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI...

HABARI PICHA: SEKRETARIETI YA TNCM YAKUTANA NA KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU DKT. YONAZI

Kikao cha Kujenga uelewa wa pamoja kuhusu uratibu wa programu za Malaria, Kifua Kikuu, UKIMWI pamoja Uimarishaji wa Mifumo ya kutolea Huduma za Afya nchini kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia (Global Fund), kikao kilihudhuriwa na Mwenyekiti wa TNCM ambaye pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi, Katibu Mtendaji wa TNCM Dkt. Rachel Makunde, Bw. Paul Sangawe Mkurugenzi wa Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Pamoja na Maafisa kutoka OWM na Sekretarieti ya TNCM. Kikao kilifanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Agosti, 2023

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here