Home BUSINESS WAJUMBE BODI YA USHAURI BRELA WAPIGWA MSASA

WAJUMBE BODI YA USHAURI BRELA WAPIGWA MSASA

Mkufunzi kutoka Wizara ya Fedha, Dkt. Sako Mwakalobo akitoa mafunzo kwa Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kuhusu Usimamizi wa Vihatarishi katika utekelezaji wa majukumu yao kama viongozi na jinsi ya kuvikabili. Mafunzo hayo yamefanyika leo tarehe 18 Julai, 2023 katika ukumbi wa mikutano wa BRELA, jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here