Home BUSINESS WAJUMBE BODI YA USHAURI BRELA WAPIGWA MSASA

WAJUMBE BODI YA USHAURI BRELA WAPIGWA MSASA

Mkufunzi kutoka Wizara ya Fedha, Dkt. Sako Mwakalobo akitoa mafunzo kwa Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kuhusu Usimamizi wa Vihatarishi katika utekelezaji wa majukumu yao kama viongozi na jinsi ya kuvikabili. Mafunzo hayo yamefanyika leo tarehe 18 Julai, 2023 katika ukumbi wa mikutano wa BRELA, jijini Dar es Salaam.

Previous articleTIC YAZIDI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NCHINI, YAKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA ULAYA
Next articleSUA KUENDELEA KUJIKITA KATIKA TAFITI ZENYE MATOKEO CHANYA KWA TAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here