Home SPORTS SIMBA FC YAZINDUA JEZI MPYA MLIMA KILIMANJARO

SIMBA FC YAZINDUA JEZI MPYA MLIMA KILIMANJARO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: mwandishi wetu

HATIMAYE klabu ya Simba leo wamezindua jezi kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.

Huu ni uzinduzi wa kwanza kwa Simba kufanya jambo hili kwa kuzindua uzi mpya kwenye mlima mrefu Afrika

Ikumbukwe kwamba Simba ni mabalozi wa utalii wa ndani na kwenye mechi za kimataifa wana uzi wao wenye nembo ‘Visit Tanzania’.

Ni watu maalumu ambao ni mashabiki wa Simba wamefanikisha zoezi hili ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2023/24.

Uzi huo unapatikana kwenye maduka yote Tanzania.