Home SPORTS SIMBA FC YAZINDUA JEZI MPYA MLIMA KILIMANJARO

SIMBA FC YAZINDUA JEZI MPYA MLIMA KILIMANJARO

Na: mwandishi wetu

HATIMAYE klabu ya Simba leo wamezindua jezi kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.

Huu ni uzinduzi wa kwanza kwa Simba kufanya jambo hili kwa kuzindua uzi mpya kwenye mlima mrefu Afrika

Ikumbukwe kwamba Simba ni mabalozi wa utalii wa ndani na kwenye mechi za kimataifa wana uzi wao wenye nembo ‘Visit Tanzania’.

Ni watu maalumu ambao ni mashabiki wa Simba wamefanikisha zoezi hili ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2023/24.

Uzi huo unapatikana kwenye maduka yote Tanzania.

Previous articleAZAM FC KUJIPIMA NA US MONASTIR KESHO
Next articleWAKATI TANZANIA WANALUMBANA, KENYA MBIONI KUSAINI MIKATABA YA UWEKEZAJI NA DUBAI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here