Home SPORTS AZAM FC KUJIPIMA NA US MONASTIR KESHO

AZAM FC KUJIPIMA NA US MONASTIR KESHO

Na: Mwandishi Wetu

KIKOSI cha Azam FC kesho kinashuka dimbani dhidi ya US Monastir katika mchezo wa kirafiki utakaofanyika Uwanja wa Mustapha Ben Jannet mjini n Monastir nchini Tunisia.

Hata hivyo mchezo huo utakuwa mchezo wa tatu wa kirafiki kwa Azam FC kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mjini Sousse nchini Tunisia baada ya awali kushinda 3-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan Julai 14 na kufungwa 3-0 na wenyeji, Esperance Julai 19.

Previous articleWHO YATOA MILIONI 855 KWAAJILI YA UTAFITI WA KITAIFA WA VIASHIRIA VYA MAGGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Next articleSIMBA FC YAZINDUA JEZI MPYA MLIMA KILIMANJARO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here