Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA HUNGARY MH. KATALAN NOVAK IKULU...

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA HUNGARY MH. KATALAN NOVAK IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák wakati wakiangalia ngoma za asili mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.

Rais wa Hungary Mhe. Katalin Novák akiongoza ujumbe wa Nchi yake wakati wa mazungumzo Rasmi na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Julai, 2023.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Hungary ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Katalin Novák, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe18 Julai, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here