Home LOCAL MBUNGE UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA NGAMIANI KUSINI

MBUNGE UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA NGAMIANI KUSINI

Mbunge wa Tanga mjini Mhe.Ummy Mwalimu Leo tarehe 18/7/2023 ametembelea kata ya Ngamiani Kusini na kupokea utekelezaji wa ilani wa 2022/2023 katika kata hiyo.

Pia mheshimiwa mbunge amepokea changamoto zilizopo katika kata hiyo ikiwemo miundo mbinu ya maji taka udogo wa eneo la shule ya msingi Ngamiani kusini.

Mhe mbunge ummy mwalimu amepokea changamoto hizo na kuaidi kuzifanyia kazi Ili kuweza kuimariisha miundo mbinu hiyo Kwa kushirikiana na Tanga uwasa na serekali.

Katika ziara hiyo mhe.mbunge ameongozana na mhe.diwani wa kata hiyo mhe.Mtanga Aweso

Imetolewa na;
Ofisi ya mbunge Jimbo la Tanga mjini
18/7/2023.

Previous articleRAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA HUNGARY MH. KATALAN NOVAK IKULU DAR ES SALAAM
Next articlePROF. MKENDA: TCU HAKIKISHENI MNASIMAMIA NA KUENDELEZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here