Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais, hivyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Miundo ya Wizara na kufanya uteuzi wa viongozi.