Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI

Kufuatia kutungwa kwa Sheria ya Mipango ya Taifa ya Mwaka 2023 pamoja na uamuzi wa kuhamishia masuala a uwekezaji Ofisi ya Rais, hivyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Miundo ya Wizara na kufanya uteuzi wa viongozi.

Previous articlePURA YAFANYA UTAFITI WA GESI NA MAFUTA BAHARI 
Next articleTCAA YAANZISHA MFUKO KUWEZESHA MAFUNZO YA MARUBANI NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here