Home BUSINESS PURA YATOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA

PURA YATOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA

Mjiolojia kutoka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Ebenezer Mollel (katikati) akitoa Elimu juu ya utafutaji na uzalishaji wa Mafuta na Gesi kwa wananchi waliotembelea katika Banda la Taasisi hiyo kwenye Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Juius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mjiolojia kutoka Mamlaka ya udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Desmond Risso (kulia) akifafanua jambo kwa Mwananchi aliyetembelea Banda la Taasisi hiyo, Joseph Mloka (kushoto), katika Maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Moja ya mwananchi aliyetembelea Banda la PURA, akiuliza swali kwa Mjiolojia wa Taasisi hiyo Lukelo Matimbwi (kushoto), katika Maonesho hayo.

Baadhi ya watumishi wa PURA wakiwa katika picha ya pamoja katika Banda lao.

(PICHA ZOTE NA: HUGHES DUGILO)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here