Home BUSINESS PURA YATOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA

PURA YATOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA SABASABA

Mjiolojia kutoka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Ebenezer Mollel (katikati) akitoa Elimu juu ya utafutaji na uzalishaji wa Mafuta na Gesi kwa wananchi waliotembelea katika Banda la Taasisi hiyo kwenye Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Juius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Mjiolojia kutoka Mamlaka ya udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Desmond Risso (kulia) akifafanua jambo kwa Mwananchi aliyetembelea Banda la Taasisi hiyo, Joseph Mloka (kushoto), katika Maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Moja ya mwananchi aliyetembelea Banda la PURA, akiuliza swali kwa Mjiolojia wa Taasisi hiyo Lukelo Matimbwi (kushoto), katika Maonesho hayo.

Baadhi ya watumishi wa PURA wakiwa katika picha ya pamoja katika Banda lao.

(PICHA ZOTE NA: HUGHES DUGILO)

Previous articleVETA MOSHI YATAMBULISHA ‘ECCENTRIC PRESS MASHINE’ KUSAIDIA VIJANA
Next articleMWANAFUNZI VETA ATENGENEZA MFUMO WA KUZALISHA UMEME WA MAJI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here