Home INTERNATIONAL SPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI MOROCCO

SPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI MOROCCO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Marrakesh, nchini Morocco leo tarehe 12 Juni, 2023.

Dkt. Tulia anatarajiwa kushiriki Mkutano wa Kibunge wa Majadiliano kuhusu Dini mbalimbali (Conference on Interfaith Dialogue) utakaofanyika nchini humo Juni 13 – 15, 2023.

Aidha, katika Mkutano huo Mhe. Dkt. Tulia ameambatana na Waheshimiwa Wabunge Mhe. Dkt. Joseph Mhagama, Mhe. Elibariki Kingu, Mhe. Esther Matiko pamoja na Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi ndc.

Previous articleRAIS MHE. DKT. SAMIA AKUTANA NA MRATIBU WA KIMATAIFA WA MPANGO WA DHARURA WA RAIS WA MAREKANI IKULU CHAMWINO DODOMA
Next articleWAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO NANE KWA JMAT NA NEMC KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here